Picha Mbalimbali Za Matukio Mapokezi Ya Nape Jimboni Kwake


Mbunge wa Mtama Lindi Nape Nnauyeamerudi jimboni kwake na kuzungumza na Wananchi kwa mara ya kwanza toka aondolewe kwenye baraza la Mawaziri alikokua akitumikia nafasi ya Waziri wa habari, sanaa, Utamaduni na michezo.
Wakati anaingia Wanawake walijilaza chini na kumruhusu Mbunge wao apite juu yao
Hizi ni picha tu kwa sasa
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment