Video Hotuba Ya Kwanza Ya Lijuakali Jimboni Kwake

Wananchi wa Jimbo la Kilombero, Morogoro kwa mara ya kwanza wamepata kusikia hotuba ya Mbunge wa Jimbo hilo Peter Lijualikalibaada ya kutoka gerezani ambapo aliwasili jimboni hapo April 8, 2017.
March 30, 2017 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilimuachia huru Mbunge Lijualikali kwa kutengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya Kilombero dhidi yake baada ya kukiri kuwa hati ya mashtaka iliyomtia hatiani ilikuwa na mapungufu.
Bonyeza play kutazama…


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment