Video:Ushauri Wa Nape Kwa Magufuli

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amemuomba Rais Magufuli aunde tume huru itakayotoa majibu kuhusu matendo ya utekaji na wale wanaotumia dhamana waliyopewa kuumiza watu. Mbunge Nape amedai kuwa matendo hayo yanamjengea chuki Rais na wananchi, Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: Mapokezi ya Nape Nnauye baada ya kufika jimboni kwake Mtama, Bonyeza play hapa chini kutazama

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment