VIDEO :Unafiki Utatupeleka Pabaya-Gekul


Hii inatokea Bungeni Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia mapendekezo ya bajeti ya Wizara ya mambo ya ndani ya nchi ambapo Mbunge wa Babati mjini Pauline  Gekul ambaye aliitaka Serikali kuangalia changamoto zinazowakabili wanajeshi wa Tanzania ikiwemo mazingira mabovu wanayoishi.

HII KALI: Mchungaji aliyeoa Mke wa Muumini wake 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment