Promota
Stamili Mtengwa katikati akiwainua juu mabondia Mwanne Haji kushoto na
Lulu Kayage baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao
utakaofanyika sikukuu ya Iddi Mosi katika ukumbi wa Frends Corner
Manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Lulu Kayage akipimwa na dokta Michael Madadidi kwa ajili ya mpambano wake na Mwanne Haji(VICTOR)


0 comments :
Post a Comment