NMB BANK YALIPATIA JESHI LA POLISI VIFAA VYA MICHEZO, NI KWA AJILI YA TIMU ZA POLISI DAR NA MORO

Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) ,Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki na Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga wakionyesha jezi walizokabidhiwa na benki ya NMB kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro. (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment