Polisi Wenye Mbwa Waongezwa Dodoma Kudhibiti Waandamanaji........Wafuasi wa Lowasa Waamua KUTAMBAA Kupinga Jina Lake Kukatwa

Saturday, July 11, 2015

Nkupamah blog

Wapambe wa Lowassa wakitambaa kupinga Edward Lowassa jina lake kukwatwa kamati kuu.
 
Gari linalotoa maji ya washawasha nje ya jengo la makao makuu CCM.
 
Polisi pamoja na mbwa wake wakilinda usalama nje ya jengo la Makao makuu CCM.
 
Baadhi ya waaandamaji wakipinga Edward Lowassa kukatwa.
Polisi watumia mbwa kuwafukuza waandamanaji nje ya majengo ya makao makuu CCM.

Nkupamah blog
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment