Mshitakiwa namba moja katika kesi ya kuhujumu uchumi, aliyekuwa
naibu Kamishna wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Tiagi Masamaki
(Kulia) akiwa na wenzake aliyekuwa Meneja wa Kitengo cha Huduma kwa
Wateja, Habibu Mponezya na Bulton Mponezya wakiwa katika Mahakama Kuu
Tanzania jijini Dar es Salaam leo wakisomewa shtaka linalowakikabili la
makosa ya jinai na uhujumu uchumi.
Watuhumiwa
watatu wa uhujumu uchumi wakisindikizwa na Polisi wakitoka mahama kuu
ya Tanzania jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kupewa dhamana.
0 comments :
Post a Comment