MAWAZIRI WAKABIDHIWA OFISI

mah1
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba akipokea nyaraka za Ofisi wakati akikabidhiwa Ofisi na Waziri aliyemaliza muda wake Dk. Binilith Mahenge Ofisini Mtaa wa Luthuli Dar es Salaam.
mah2
Naibu Waziri   Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. Luhaga Mpina akikabidhiwa nyaraka za Ofisi na Naibu Waziri aliyemaliza muda wake Mh. Stephen Masele . Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini jijini Dar es Salaam
mah3
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais akiwa Bwana Sazi Salula akiwa katika picha ya pamoja na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba na Waziri aliyemaliza muda wake Dkt. Binilith Mahenge mara baada ya makabidhiano ya Ofisi
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment