Mbunge
wa Jimbo la Chumbini Zanzibar Mhe Usssi Salum Pondeza AMJAD
akiwatembelea Wananchi wake waliopata madhara ya kuingiliwa na Maji
katika Nyumba zao wakati wa mvua za Vuli zilizonyesha hivi karibu akiwa
na Sheha wa Shehia ya Masumbani wakikagua maeneo hayo.
Mbunge
wa Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akipata maelezo ya
moja wa mtaro wa maji machafu unaosafirisha maji ya mvua katika Shehia
ya Masumbani ambao huzidiwa na maji na kujaa hadi kufikia katika makaazi
ya Wananchi wa Shehia hiyo.
Mhe
Mbunge akiwa katikac ziara ya kutembelea maeneo ya Jimbo lake ambalo
wakaazi wake wameingilia na maji wakati wa mvua ilionyeshi hivi karibuni
na kuagalia jinsi ya kuufanyia mategenezo kuweza kupitisha maji na
kuondoa Tatizo la kujaa kwa maji wakati wa mvua katika eneo hilo la
masumbani Jimbo la Chumbuni Zanzibar.
Sheha
wa Shehia ya Masumbani akimuonesha maeneo yanayojaa maji wakati wa
Mbunge wa Jimbo hilo alipowatembelea Wananchi wake waliopata madhara ya
kuingiliwa na maji ya mvua majumbani kwao.
Mbunge
wa Chumbuni akiwa katika ziara ya kutembelea Wananchi wake Jimboni
kuwafariji.akiwa na Viongozi wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar.
Mbunge
wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akimsikiliza
Sheha wa Shehia ya Masubani wakati wa ziara yake kuwafariji Wananchi wa
Jimbo lake walioingiliwa na Maji wakati wa Mvua hivi karibuni.
Mbunge
wa Jimbo la Chumbuni Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akiwagaia pipi watoto
wa madrasa ya masumbani wakati wa ziara yake katika Jimbo lake
kuwafariji Wananchi walioingiliwa na maji majumbani mwao.
Mbunge
wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe. Ussi Salum Pondeza AMJAD akiwafariji
Wananchi wa Jimbo lake waliopata madhara ya mvua za vuli kuingiliwa na
maji katika makaazi yao, na kutoa msaada kwa Wakaazi hao.

Wananchi waliopata madhara ya mvua za vuli wakimsikiliza Mbunge wao alipofika kuwatembelea na kuwafariji na kuwakabidhi msaada.
Wananchi waliopata madhara ya mvua za vuli wakimsikiliza Mbunge wao alipofika kuwatembelea na kuwafariji na kuwakabidhi msaada.
Mbunge
wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Pondeza AMJAD, akimkabidhi
msaada wa vyakuma mmoja wa Mwananchi wa Jimbo lake Shehia ya Karakana
waliopata maafa hayo ya mvua hivi karibu.
Mbunge
wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Pondeza AMJAD, akimkabidhi
msaada wa chakula mmoja wa Mwananchi wa Jimbo lake Shehia ya Karakana
waliopata maafa hayo ya mvua hivi karibu.
Mbunge
wa Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akimsikliza Mwananchi
wa jimbo lake wakati alipofika kuwatembelea Wananchi wa Jimbo hilo
waliopata maafa ya kuingiliwa na maji katika majumba yao eneo la
masumbani Zanzibar.
Mbunge wa Chumbuni akiwa Watoto wa Shehia ya Masumbani akiwagaia peremende, wakati akiwa katika ziara yake.
Mbunge
wa Chumbuni Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akiwa katika ziara yake katika
Shehia ya Karakana kuwatembelea Wananchi wa Jimbo lake waliopata maafa
ya mvua za Vuli.
Mbunge
wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akipata
maelezo kutoka kwa Sheha wa Karakana wakati wakiwa katika eneo
linaliothirika kwa kujaa maji wakati wa mvua ikinyesha na kuahidi
kulichukulia hatua ya kuchimbwa kwa mtaro mkubwa wa maji kuweza
kupitisha maji hayo wakati wa mvua ikinyesha. kuondoa kero za Wananchi
wa eneo hilo.
Sheha
wa Shehia ya Karakana akiwa na Mbunge wa Jimbo la Chumbuni akitembelea
maeneo yaliopata madha ra kujaa maji wakati wa mvua za vuli zinazonyesha
na baadhi ya Wananchi wa Jimbo hilo kuingilia na maji makaazi yao.
Mbunge wa Chumbuni akitembelea Maeneo ya Karakana yaliojaa maji.
Mbunge wa Chumbuni akiwa katika ziara yake Jimboni kwake
Mbunge
wa Jimbo la Chumbuni Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akizungumza na
waandishi wa habari jinsi atakavyomaliza matatizo ya kujaa kwa maji
katika makaazi ya wananchi wake katika hatua za kuchimba mtaro mkubwa
utakaoweza kupitisha maji hadi pwani ya maruhubi.
Sheha
wa Shehia ya Karakana akizungumza na Wananchi waliopata maafa ya mvua
kuingilia wa maji majumbani kwao wakati wa ziara ya Mhe Mbunge AMJAD
alipofanya ziara kujionea maeneo hayo na kutoa msaada wa vyakula kwa
wananchi hao.na kuahidin kulifanyika kazi tatizo hilo.
Mbunge
wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Pondeza AMJAD, akimkabidhi
msaada wa vyakuma mmoja wa Mwananchi wa Jimbo lake wa Shehia ya Karakana
waliopata maafa hayo ya mvua hivi karibu.
Mbunge
wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Pondeza AMJAD, akimkabidhi
msaada wa vyakuma mmoja wa Mwananchi wa Jimbo lake wa Shehia ya Karakana
waliopata maafa hayo ya mvua hivi karibu.
Wananchi
wa Jimbo la Chumbuni eneo la Shehia ya Kiungani Chumbini wakitowa
maelezo kwa Mbunge wao wakati alipofika kuwafariji na kutoa msaada wa
vyakula kwa Wananchi hayo waliopata maafa ya mvua za vuli kujaa maji
katika makaazi yao.
Mbunge
wa Jimbo la Chumbuni Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akiwafariji Wananchi
wa Shehia ya Chumbuni Kiungani waliopata maafa ya kuingiliwa na maji
wakati wa mvua zilizonyesha hivi karibuni.
Mwananchi
wa Chumbuni Kiungani akitowa maelezo kwa Mbunge wake Mhe Ussi Pondeza
AMJAD wakati alipofika kuwafariji na kutowa msaada kwa Wananchi hao
waliopata maafa ya mvua za vuli kujaa kwa maji katika makazi yao.

0 comments :
Post a Comment