Mkurugenzii Mkazi wa Taasisi ya kimataifa inayojishughulisha na masuala ya kidemokrasia na utawala bora (The international Republican Institute)
Bi. Robina Namusisi akisalimiana na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
alipomtembea Ofisini kwake Dar es Salaam leo kuelezea mipango ya
taasisi
yake inayokusudia kushirikiliana na Bunge katika kutoa mafunzo ya
kidemokrasia kwa Wabunge vijana na wanawake.
Mkurugenzii Mkazi wa Taasisi ya kimataifa inayojishughulisha na masuala ya kidemokrasia na utawala bora (The international Republican Institute)
Bi. Robina Namusisi akimweleza Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai mipango
ya taasisi yake inayokusudia kushirikiliana na Bunge katika kutoa
mafunzo ya kidemokrasia kwa Wabunge vijana na wanawake. Bi. Namusisi
alimtembea Mhe. Ndugai Ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifafanua jambo wakati wa mazungumzo na
Mkurugenzii Mkazi wa Taasisi ya kimataifa inayojishughulisha na masuala
ya kidemokrasia na utawala bora (The international Republican Institute)
Bi. Robina Namusisi alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam
leo. Taasisi hiyo inayokusudia kushirikiliana na Bunge katika kutoa
mafunzo ya kidemokrasia kwa Wabunge vijana na wanawake.
Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi
Mkazi wa Taasisi ya kimataifa inayojishughulisha na masuala ya
kidemokrasia na utawala bora (The international Republican Institute)
Bi. Robina Namusisi (kulia kwake)alipomtembelea Ofisini kwake jijini
Dar es Salaam leo. Taasisi hiyo inayokusudia kushirikiliana na Bunge
katika kutoa mafunzo ya kidemokrasia kwa Wabunge vijana na wanawake.
Wengine katika picha ni maafisa kutoka taasisi hiyo.
0 comments :
Post a Comment