MWANAHARAKATI WA TZ AWAJIBU HAYA MAREKANI KWA KUINYIMA SERIKALI YA MAGUFULI MATRILION YA MSAADA

@nkupamah blog

DAR ES SALAAM

MWANAHARAKATI mahiri wa siasa nchini Haumphery Polepole ameibuka na kufunguka juu ya kitendo cha Marekani kupitia shirika lake la Milleniam (MCC) kutangaza kuinyima Tanzania msaada wa pesa ambao walipanga kuipa katika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kile kilichosemekana kuwa ni kutokana na kutokuwa na demokrasia na sheria ya mitandao.
Polepole amaendaika katika ukurasa wake wa twitter na kusema kuwa kama nchi i
naweza kukusanya zaidi ya trilioni 1.3 kwa mwezi kwa nini tuendelee kungoja misaada kutoka nnje?amesema kuwa hakuna haja ya kuwapigia magoti waliotunyima huo msaada ila kikubwa ni kwa Serikali kuzidisha na kuongozea mkakati wake katika kukusanya kodi kwa wingi hali itakayowafanya hao wanaojiita wafadhili kuipigia simu Serikali ya Magufuli na kuilazimisha mikopo’
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment