Naibu Waziri wa afya,maendeleo ya
jamii,jinsia,wazee na watoto,Dkt.Hamis Kingwangwala(wa pili kulia)
akikagua kambi ya kipindupindu iliyopo hospitali ya
kwamnyamani buguruni
Dkt.Kingwangwala akimsalimia mmoja wa mgonjwa wa kipindupindu aliyelazwa kwenye kambi hiyo
Dkt.Kingwangwala akikagua takataka zilizorundikwa katikati ya barabara ya ndani ya soko la matunda la buguruni
Katika kuhakikisha kama
wafanyabiashara wana uelewa juu ya ugonjwa wa
kipindupindu,Dkt.Kingwangwala akizungumza na muuza kahawa karibu na
mfereji mchafu uliopo sokoni hapo.
Naibu waziri akikagua soko la matunda buguruni.


0 comments :
Post a Comment