Afisa
Habari Mkuu kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Aisha Malima
akipata maelekezo kutoka kwa mfanyakazi wa Kampuni ya
Ujenzi ya Estim
bw. Joseph Shauri kuhusu ujenzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco.
Vifusi
vikiwa vimekusanywa katika maeneo ya Mwenge ikiwa ni hatua za awali za
ujenzi wa Barabara ya kutoka Mwenge hadi Morocco kazi iliyoanza Desemba
Mosi, mwaka huu na inatarajiwa kuisha baada ya miezi sita chini ya
Kampuni ya Ujenzi ya Estim jijini Dar es Salaam.
Afisa
Habari Mkuu kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Aisha Malima
akionesha alama zilizowekwa katika maeneo ya Bamaga ikiashiria kuwa
tayari ujenzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco imeshaanza kufanya kazi
tangu Desemba Mosi, mwaka huu na inatarajiwa kuisha baada ya miezi
sita.
Afisa
Habari Mkuu kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Aisha Malima
akiongea na mmoja wa wachuuzi wa vyungu vya maua maeneo ya Bamaga
Bw.Emmanuel Kilua ambaye tayari ameshapewa maelekezo ya kupisha eneo
hilo ili kupisha ujenzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco inayojengwa
na Kampuni ya Ujenzi ya Estim na inatarajiwa kuisha baada ya miezi sita.
Vifusi
vikiwa vimekusanywa katika maeneo ya Mwenge ikiwa ni hatua za awali za
ujenzi wa Barabara ya kutoka Mwenge hadi Morocco kazi iliyoanza Desemba
Mosi, mwaka huu na inatarajiwa kuisha baada ya miezi sita chini ya
Kampuni ya Ujenzi ya Estim jijini Dar es Salaam.
Mafundi
wakiendelea na harakati za ujenzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco
ikiwa ni moja ya hatua ya upanuzi wa barabara hiyo kutoka njia mbili
hadi kuwa barabara ya njia tano lengo ni kupunguza msongamano wa foleni.
Barabara ya Mwenge hadi Morroco inavyoonekana katika picha kwa sasa ambayo inatarajiwa kuwa barabara ya nia tano badala mbili kama ilivyo sasa lengo ikiwa ni kupunguza msongamano wa foleni
0 comments :
Post a Comment