Zaidi ya WATU 90 wapotea katika maporomoko ya ardhi China

Nkupamah media

CHINA


Watu zaidi ya 90 wapotea katika maporomoko ya ardhi nchini China

Watu takriban 90 wakadiriwa kuwa wamepotea kufuatia maporomoko ya ardhi yaliotokea katika mji wa Shenzen nchini China.

Shenzen ni eneo linalo patikana kusini mwa China.

Majumba takriban 30,000 yameripotiwa kubomoka kufuatia maporomoko hayo katika eneo la mita 20,000.

Watu wapatao 900 wamekwisha okolewa na vikosi vilivyopelekwa katika eneo hilo na serikali.

Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa katika jarida la serikali ni kwamba maporomoko hayo yamesababishwa na ujengaji kiholela katika eneo la milimani.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment