Izzo Bizness apagawisha wakazi wa Mbeya kwenye Tamasha la Pasaka



Wadau wa burudani katika Jiji la Mkoani Mbeya Jumapili ya Pasaka waliweza kupata burudani ya kipekee kutoka kwa Msanii Emmanuel Simwinga maarufu  “ Izzo Bizness “  ambaye alikonga mioyo ya wadau hao kwa vibao vyake mbalimbali wakati wa kupiga shoo hiyo ya  muziki kwenye tamasha la Pasaka la Home sweet home lililodhaminiwa Tigo.

 

 Izzo Bizness  akishow love kwa mashabiki zake tamasha la pasaka la home Sweet Home lililodhaminiwa Tigo jijini Mbeya
jumapili iliyopita.
Mamia ya mashabiki wakifurahia burudani toka kwa Izzo  Bizness
Yani ilikuwa shangwe wakati Izzo Bizness akitumbuiza jukwaani kwenye  tamasha la pasaka la home sweet home lililodhaminiwa Tigo jijini Mbeya jumapili iliyopita.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment