Kinyanganyiro Cha Kuwania Urais wa ZFA Mgombea Wajitokeza Kuchukua Fomu ya Uongozi leo Kamati ya Uchaguzi ZFA.

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya ZFA Taifa Ndg Suleiman Hassan Kibabu akipokea Fedhav kutoka kwa Mgombea Nafasi ya Makamu wa Rais wa ZFA Zanzibar Ndg Mohammed Masoud akikabidhi fedha shilingi laki mbili kwa ajili ya fomu hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya ZFA Taifa Ndg Suleiman Hassan Kibabu akimkabodhi Fomu ya Kugombea Uongozi ZFA Taifa Mgombea Nafasi ya Makamu wa Rais wa ZFA Zanzibar Ndg Mohammed Masoud, akiwa Mwanachama wa kwanza kujitokeza kuchukua fomu hiyo kuwania Uongozi wa ZFA katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao tarehe 14 April 2016 Kisiwani Pemba

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment