Nkupamah media:
Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Lawurence Museru akizungumza na Mtaalamu wa Mfumo wa Chakula na Ini, Profesa Abdel Meguid Kassem pamoja na Classen ambao wametoa msaada wa huduma za afya kwa wagonjwa katika hospitali hiyo. Wataalamu hao wanatoka Ujerumani.
Mtaalamu wa Mfumo wa Chakula na Ini, Profesa Abdel Meguid Kassem pamoja na Classen wakizungumza LEO na Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Lawurence leo kwenye hospitali hiyo.
Mmoja wa madaktari wa masuala ya Mfumo wa Chakula katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) akizungumza kwenye mkutano huo leo.
Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Lawurence akizungumza na wataalamu hao LEO.
0 comments :
Post a Comment