.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Kiongozi wa Jumuiya ya
Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheik Tahir Mahmoud aliyemtembelea
pamoja na viongozi wenzake Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Viongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya
Muslim Jamaat Tanzania waliomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es
Salaam.Wa kwanza kulia ni Kiongozi wa Jumuiya hiyo nchini Sheik Tahir
Mahmoud.
0 comments :
Post a Comment