Kwa
kipindi cha miaka kadhaa iliyopita kulikuwapo na tetesi kuwa msanii wa
Hip Hop, Fid Q yupo katika mahusiano ya kimapenzi na mtangazaji wa
kipindi cha Mkasi, Salama Jabir na wana mipango ya kufunga ndoa.
Fid Q na Salama Jabir wakiwa katika picha ya pamoja
Fid
Q amejibu swali kama ni kweli aliwahi kutaka kumuoa Salama kwa miaka
kadhaa iliyopita wakati alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha
Ala za Roho kinachoruka kupitia Clouds Fm na kukanusha taarifa hizo kuwa
siyo sahihi.
“Sio
kweli … hizo stori niza uongo,” Fid Q alimjibu mtangazaji wa kipindi
hicho, Diva na baada ya hapo aliingiza mada nyingine na Diva kuachana na
swali hilo.


0 comments :
Post a Comment