Video:Arsenal Ilipopigwa 3-0

Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017 inaendelea jioni ya leo kwa mchezo saba kucheza, mchezo wa West Bromwich Albionulikuwa ni moja kati ya michezo iliyochezwa siku ya leo ya Jumamosi ya March 18 2017 katika uwanja wa The Hawthorns.
Arsenal ambao kwa sasa wanahusishwa kumuhitaji kocha wa Juventus Massimo Alegriwamejikuta wakikubali kipigo cha 7 EPL msimu huu wakiwa chini ya kocha wao Arsene Wengerambaye anahusishwa kufukuzwa muda wowote, Arsenal wamekubali kipigo cha goli 3-1 wakiwa ugenini.
Huu ni ujumbe ambao ulifungwa katika ndege ukihamasisha kuondolewa kwa Arsene Wenger
Kipigo hicho kinaifanya Arsenal kuendelea kukaa katika nafasi ya 5 katika msimamo wa Ligi Kuu England msimu huu, wakiwa na point 50 lakini mashabiki wa Arsenal wengi wao hususani wa England kwa sasa wameonekana kujikita zaidi katika kushinikiza Wengeraondoke.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment