Trump amtumbua aliyefanya kazi miezi sita

  • Wakati ujumbe wa kuondolewa katika nafasi hiyo ukisambaa mjini Washington, Reince Priebus alikuwa ameshaondoka Ikulu.
Rais Donald Trump wa Marekani amemteua Waziri wa Mambo ya Ndani, John Kelly kuwa mkuu wa utumishi wa Serikali baada ya kumwachisha kazi Reince Priebus.
Priebus amefanya kazi kwenye Serikali hiyo kwa muda wa miezi sita tu.
Baada ya miezi kadhaa ya uvumi kuhusu hatima ya Priebus, Trump ametangaza uamuzi wake kwenye mtandao wa Twitter akiwasili mjini Washington.
Awali, Trump alitoa hotuba jijini New York ambayo aliitumia kummwagia sifa Kelly kwa kazi anayofanya katika wizara hiyo.
Amesema ,"Nina furaha kuwafahamisha nimemteua waziri John Kelly kuwa mkuu wa utumishi wa Serikali katika Ikulu."
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment