Video suprise Ya diamond kwenye harusi ya professor Jay

Rapper na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Profesa Jay’ July 8, 2017 alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Grace ambaye walidumu katika uchumba kwa miaka 13 ambapo watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasanii walialikwa.

Moja ya mambo yaliyofurahisha katika tukio hilo ni surprise ya mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz ambaye alitumbuiza…bonyeza PLAY kwenye VIDEO hii kutazama!!! 




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment