Leo May 30, 2018 Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar, Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ ametoa ushauri kwa wasanii Diamond na Ali kiba na kuwataka kupima makosa ya Wasanii wengine waliowahi kubwa Afrika na wakadondoka ili wao waweze kusimama kwa muda mrefu zaidi.
Amezungumza na AyoTV na millardayo.com na kusema watu waache uzinzi kwani maisha ni mafupi.
0 comments :
Post a Comment