Mpambanaji aliyejitambulisha kwa mwandishi wa blog hii kwa jina la
Liberatus Oba Mawalla "Dogo" (pichani juu) amechukua na kurudisha fomu
za kugombea udiwani kata ya Korongoni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Amesema endapo
atapata ridhaa hatapenda wamuite mheshimiwa na badala yake anataka
wapiga kura wake wamuite ndugu. Angalia picha zaidi hapa chini
Hapa ni furaha tupu.
Dogo akiwa na vijana wa chama hicho.
Akisaini wakati akichukua fomu.
Hapa ni ushindi tu.
Msafara huo kurudisha fomu.
Ni alama ya vidole viwili chadema .
Ni furaha tu kwa kwenda mbele.
Dogo ndani ya mchuma akienda kurudisha fomu.
Ni kama wanasema ushindi ni lazima.
Msafara huo wa kwenda kurudisha fomu.
Dogo akipongezwa na vijana wenzake.
















0 comments :
Post a Comment