Jaji mstaafu Mark Bomani (kulia) akimkabidhi Tuzo ya maono mapevu, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.
Jaji mstaafu Mark Bomani akimvisha skafu yenye Neno Tanzania Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema.
Jaji mstaafu Mark Bomani akimkabidhi Tuzo ya uwazi na ukweli
Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema tuzo ya ubunifu, tuzo
ambazo zimetolewa na taasisi ya Dream Success Enterprises.
Jaji mstaafu Mark Bomani akimvisha Skafu Saed Kubenea.
Jaji mstaafu Mark Bomani akimkabidhi tuzo Mwandishi Saed Kubenea
tuzo ya uwazi na ukweli , ambazo zimetolewa na taasisi ya Dream Success
Enterprises Dar es Salaam.
Jaji Mstaafu Mark Bomani katika picha ya pamoja (wa tano kulia )
wakiwa na baadhi ya viongozi wa Taasisi ya Dream Success Enterprises
mmoja wao ni Joshua Lawrence (kushoto) na kulia ni Profesa Aldin
Mutembei baada ya kukabidhiwa tuzo hizo Dar es Salaam jana.
Kikundi cha kwaya cha Nyota ya asubuhi, cha kanisa la Wasabato,
Ukonga, kikitoa burudani wakati wa utoaji tuzo kwa Watanzania waliotoa
mchango mkubwa katika kutetea haki na jamii nchini, Dar es Salaam jana.
Mmoja wa waliopata tuzo hizo ni pamoja na Mbunge wa Kigoma Kusini, David
Kafulila. Tuzo hizo zilitolewa na Taasisi ya Dream Success Enterprises
ya jijini.
Baadhi ya wananchi walio shiriki


0 comments :
Post a Comment