Miss Africa USA Meron Wudneha akitia saini kitabu cha wageni Ubalozi
wa Tanzania nchini Marekani siku walipotembelea Ubalozi wa Tanzania
nchini Marekani ulipo Washington, DC kwa utambulisho.
Kutoka kushoto ni Mr. Jerome Ndi ambaye ni mume wa Lady kate, Lady
Kate, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
Balozi Liberata Mulamula, Miss Africa USA 2014-2015 Meron Wudneha na
Mkurugenzi wa Miss Tanzania USA, Ma Winny Casey wakiwa katika picha ya
pamoja
Home
/
Uncategories
/
MA WINNY CASEY AWATAMBULISHA LADY KATE, MUMEWE NA MISS AFRICA USA KWA BALOZI LIBERATA MULAMULA
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment