AGIZO LA TAMISEMI KUHUSU TAKATAKA ZA 9 DESEMBA

@nkupamah blog



Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora George Simbachawene aagiza taka zote
zilizokusanywa siku ya uhuru tarehe 9 Disemba zizolewa kabla ya tarehe 20.
simba (1)Kauli hiyo aliitoa wakati alipokuwa akizungumza na wafanyakazi wa Wizara hiyo wakati wa kikao cha kumkaribisha katika ofisi ya TAMISEMI mjini Dodoma.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment