@nkupamah blog
Baada ya Meek Mill kumvisha pete mpenzi wake Nick Minaj, wawili hao wamepanga kufunga
ndoa mwakani.Kupitia mtandao wa Instagram, mkali huyo wa hip hop, Minaj alisema kuvishwa pete ni dalili ya harusi kukaribia.
“Nampenda sana Mill na ninaamini ananipenda na ndio maana amenivisha pete, kila kitu kitakuwa hadharani mwakani, mipango yetu mikubwa kwa sasa ni kufunga ndoa ifikapo 2016,” aliandika


0 comments :
Post a Comment