FAINALI YA KARNE,BARCELONA VS RIVER PLATE,SUAREZ KUBEBA KIATU LEO?

@nkupamah blog

TOKYO,Japani.

TAMATI ya michuano ya klabu bingwa ya Dunia inafika leo ambapo kutachezwa mechi mbili fainali,ambapo itaanza mechi ya kutafuta mshindi wa tatu itakayo chezwa saa nne ya asubuhi kwa saa za Afrika mashariki na kufuatiwa na mechi ya kutafuta mshindi wa kwanza na pili.
Hata hivyo macho na maskio ya mashabiki wengi wa soka dunian yatakuwa katika
mchezo wa fainali ambao utachezwa majira ya mchana wa saa saba kwa saa za Afrika Mashariki biana ya mabingwa wa Ulaya,Fc Barcelona na mabingwa wa Amerika kusini River Plate.2672767_full-lndTayari homa ya mchezo huo imetajwa kuwa juu kutokana na timu zote mbili kuwa katika kiwango bora cha mchezo huku ambapo kila timu itahitaji kushinda mchezo huo ambao ni wa muhimu kwa pande zote mbili.
Fc Barcelona huenda leo hii wakawahusisha wachezaji wao hatari Lionel Messi na Neymar ambao hawakucheza katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya Guangzhou Everbgrande ya nchini China,lionelmessineymar-cropped_6qcj1xojym4s16vvk2p7nw6n5Hata hivyo nyota wa Barcelona Luis Suarez huenda leo hii akajihakikishia kutwaa kiatu cha mfungaji bora wa michuano hiyo bara baada ya kuifungia timu yake magoli matatu katika mchezo wa nusu fainali.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment