Meli ya royal iliYOkuwa ikitokea
Unguja kuelekea Pemba imepata hitilafu na kuungua, kwa
Bahati nzuri
Meli ya Serengeti ilikuwa inatokea Pemba kwenda Unguja imeikuta njiani
hivyo shughuli za uzimaji moto na uokozi Wa abiria na Mali zimefanyika
na watu kuonkolewa, meli hiyo imevutwa mpaka Bandari ya Mkoani Pemba
Hii ni moja ya chumba cha injini kilichoungua kama kinavyoonekana dirishani.
Abiria wakiokolewa na kupanda meli ya MV Serengeti.


0 comments :
Post a Comment