Mkali wa sauti laini na ya kubembeleza Ali Salehe Kiba maarufu kama King Kiba amezua mjadala mtandaoni kwa mashabiki mbalimbali kuanza kubishana kwa kuzungumzia watazamaji aliowapata baada ya
kutoa video ya wimbo wa pamoja alioimba na Christian Bella uitwao Nagharamia.
Video ya Nagharamia ina siku tatu tangu itoke na kutimiza watazamaji 95,723 huku nyimbo ya Utaipenda ya Diamond kipindi inatoka ilitimiza watazamaji lakitatu ndani ya siku tatu, kitu kilichopelekea mashabiki hao kusema kuwa Alikiba haungwi mkono na mastaa wenzake pindi anapotoa kazi zake tofauti wanavyofanya wengine,
0 comments :
Post a Comment