Mkuu wa Hifadhi ya Saadani Bw.
Hassan Nguluma akiwaonesha Wajumbe wa Kamati ya Maliasili, Utalii na
Ardhi ramani ya Hifadhi hiyo wakati kamati hiyo ilipoitembelea Hifadhi
ya Saadani pamoja na kukutana na Menejimenti ya TANAPA. Wengine katika
picha ni Naibu Waziri wa Utalii na Maliasili Mhandisi Ramo Makani (mweye
miwani) na Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Atashasta Nditiye
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment