Chelsea inataka kutoa madau mawili kwa ajili ya mastaa wa Everton Ross Barkley na Romelu Lukaku, kwa mujibu wa Telegraph.
Hayo hapo Matokeo ya Mechi za Europa Ligi.Na timu zilizofuzu Robo Fainali ni Besiktas, Celta, Genk, Schalke, Lyon, Ajax, Anderlecht na Man U.
Barcelona wamedhamiria kumsajili Ousmane Dembele baada ya kushindwa kumpata majira ya joto msimu uliopita Mundo Deportivo.
Rais wa CAF, Issa Hayatou ameshindwa kutetea nafasi yake kufuatia kuzidiwa kura na mpinzani wake pekee, Ahmad Ahmad. ..
Rais wa Shirikisho la soka Afrika, Issa Hayatou amebariki Zanzibar kuwa mwanachama kamili. Amesema idadi ya wanachama itaongezeka kufikia 55 .
0 comments :
Post a Comment