Yaliyojiri Katika Kesi Dawa Za Kulevya Ya Wema Sepetu Leo


Kesi ya dawa za kulevya inayomkabili malkia wa filamu, Wema Sepetu yaahirishwa hadi April 11 baada ya upande wa mashtaka kusema kortini Kisutu upelelezi haujakamilika.Muigizaji huyo ni mmoja kati ya wasanii ambao walitajwa kwenye list ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda yawatuhumiwa wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya.
Katika upelelezi wa awali ambao ulifanywa na jeshi la polisi, walidai wamekuta msokoto wa bangi nyumbani kwa muigizaji huyo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment